COMMENTS FROM OUR COMMUNITY & PARTNERS
Below is a collection of the feedback from our partners and collaborators.
********************************
Dr Eliniza Mjema -- University of Dar es Salaam
Kwa miaka miwili sasa, nikiwa mdau mwakilishi wa CONCH nimeshuhudia mafanikio makubwa ya mradi wa CONCH katika kuwaleta pamoja wasomi na wadau mbali mbali wa Urithi wetu. Tunaendelea kujadili changamoto zetu na maazimio yetu katika kuleta dira muafaka ya maendeleo ya sekta ya urithi wa Utamaduni. Tumehusisha jamii, shule za msingi na wanafunzi wa chuo kwa kuwapa elimu na mafunzo. Tumewaunganisha wapenda urithi wetu kwa pamoja, Hatutakoma hapa bali kwa pamoja tutaendelea kuzalisha kwa pamoja elimu, kujenga mawasiliano ya karibu kwa wadau wote ili kutimiza ndoto zetu za kutunza nakufaidika na historia yetu katika ukanda wetu wa Afrika Masahariki
Philomena Venance -- University of Dar es Salaam
Nimefurahi sana kufanya kazi na Conch katika mji wa pangani,Tanga ni mji mzuri na watu wake ni wakarimu sana. Kupitia Conch nimepata ujuzi mwingi sana kama kujua akiologia ya majengo pamoja na utengenezaji wa mafumbo ya watoto ili kuwahamasisha waweze kutembelea makumbusho ya pangarith.
I was very happy to work with conch team , I was very excited and I got a lot of experience from them at Pangani. Tanga the place was very beautful and its people are very hospitable. I learnt many things that I did not know about archaeological buildings, how to create games for children and to motivate them to visit museum at Pangarith.
Ally Mbaruku--Antiquities Department
Nimefurahi kwa kazi nzuri kwa kipindi chote mlichokuwa mnanitumia hatua kwa hatua. Pia kwa kutumia kiswahili kizuri katika baadhi ya maneno au taarifa mlizokuwa mkinitumia kuhusu mradi wa CONCH.
Rukia Asembe--Local school
I see it, it is real Pangani. Majengo yote ni ya Pangani. Hongereni sana kweli kazi mliifanya.
Noel Lwoga--University of Dar es Salaam
Thank you very much for the updates.
The blogs have rich information showing the success of the project done in Pangani. Congratulations to the team.
Lendian Bigoli-- University of Dar es Salaam
Hongereni san!
We are glad you came all the way from UK and other far places to work for the betterment of Tanzanian heritage.
Kiyonga Mohamed--Funguni SE
Thanks a lot, we can't wait to see you again
Severine Kitzo--Usikwasa
This is fantastic and the project is doing well in heritage conservation and documentary of our heritage resources.
******************************************
Want to be involved in the CONCH project?
Follow us on Facebook and Instagram for updates on the events and activities of the CONCH project. We will be updating these sites with photographs of the archaeological digs and heritage workshops.
If you have any questions, please contact us.